Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Chalinze afunguka hali ya Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau, on September 7, 2020 at 10:00 am

September 7, 2020

Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Chalinze Sudy Msakamali amezungumza hali ya Kiafya ya Wasanii Lulu Diva, Belle na Bonge la Nyau waliopata ajali maeneo ya jirani na Chalinze ambapo amesema wanaendelea vizuri.”Wamepata majeraha ya kawaida, Belle 9 amepata mchubuko kichwani amepewa dawa , Lulu Diva yeye kidogo amepata zaidi ya kichwa ila tumegundua maumivu yake hayawezi kumletea matatizo” – Dkt.SudyWasanii hao walipata ajali ya gari alfajiri ya leo Chalinze Pwani wakiwa safarini kwenda DSM.,

Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Chalinze Sudy Msakamali amezungumza hali ya Kiafya ya Wasanii Lulu Diva, Belle na Bonge la Nyau waliopata ajali maeneo ya jirani na Chalinze ambapo amesema wanaendelea vizuri.

“Wamepata majeraha ya kawaida, Belle 9 amepata mchubuko kichwani amepewa dawa , Lulu Diva yeye kidogo amepata zaidi ya kichwa ila tumegundua maumivu yake hayawezi kumletea matatizo” – Dkt.Sudy

Wasanii hao walipata ajali ya gari alfajiri ya leo Chalinze Pwani wakiwa safarini kwenda DSM.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *