Mfungwa aliyemshambu R Kelly adai alitumwa na serikali, on September 8, 2020 at 1:00 pm

September 8, 2020

 Hatimaye mfungwa aliyemshambulia mwimbaji wa RnB Duniani, Robert Kelly maarufu R Kelly wakiwa gererani amejitokeza na kuzungumza sababu hasa za kumshambulia mwimbaji huyo.Mfungwa huyo aliyejitambulisha kwa jina la Jeremiah Shane Farmer, 39 amesema alitumwa na serikali kufanya shambulizi hilo la kumdhuru #RKelly, “The government made me attack R. Kelly” alisema Jeremiah.Kwa mujibu wa The Blast, Jeremiah ametambulika kuwa ni mmoja kati ya memba hatari wa kundi la kihalifu maarufu kama Latin Kings.Sambamba na hilo, #Jeremiah alidai kuwa, alifanya tukio hilo kwa lengo la kupata umaarufu na dunia kufahamu kwamba serikali inanuka rushwa.,

 

Hatimaye mfungwa aliyemshambulia mwimbaji wa RnB Duniani, Robert Kelly maarufu R Kelly wakiwa gererani amejitokeza na kuzungumza sababu hasa za kumshambulia mwimbaji huyo.

Mfungwa huyo aliyejitambulisha kwa jina la Jeremiah Shane Farmer, 39 amesema alitumwa na serikali kufanya shambulizi hilo la kumdhuru #RKelly, “The government made me attack R. Kelly” alisema Jeremiah.

Kwa mujibu wa The Blast, Jeremiah ametambulika kuwa ni mmoja kati ya memba hatari wa kundi la kihalifu maarufu kama Latin Kings.

Sambamba na hilo, #Jeremiah alidai kuwa, alifanya tukio hilo kwa lengo la kupata umaarufu na dunia kufahamu kwamba serikali inanuka rushwa.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *