Meneja avunja ukimya,afunguka Aslay kuzushiwa kifo

September 11, 2020

Meneja wa msanii Aslay, Chambuso amesema kuwa msanii wake amekuwa akiteseka na mambo yanaendelea kwa sasa kwa sababu yeye ni mkimya, sio mtu wa kujibu na kutumia mitandao ya kijamii ndiyo maana watu wanamzushia vitu vingi kama kifo. “Aslay aliamua kukaa kimya kuanzia kwenye mitandao akawa haposti kitu na huwa hamjibu mtu, hili likaleta watu kumzushia kifo ila ukweli ni kwamba Aslay yupo hai, mara ya kwanza alinipigia simu usiku kuhusu hizo taarifa za kifo tena tulikuwa mkoani ilibidi turudi Dar Es Salaam na Aslay sio kama amekwama” “Kwa hiyo tulichofanya ni kutoa taarifa polisi ila ubaya watu wanaoimiliki hiyo akaunti ya YouTube hawajulikani, na tumewashtaki kwenye mtandao huo kwahiyo baada ya wiki 2 zitashushwa zile taarifa”.,

Meneja wa msanii Aslay, Chambuso amesema kuwa msanii wake amekuwa akiteseka na mambo yanaendelea kwa sasa kwa sababu yeye ni mkimya, sio mtu wa kujibu na kutumia mitandao ya kijamii ndiyo maana watu wanamzushia vitu vingi kama kifo. 

“Aslay aliamua kukaa kimya kuanzia kwenye mitandao akawa haposti kitu na huwa hamjibu mtu, hili likaleta watu kumzushia kifo ila ukweli ni kwamba Aslay yupo hai, mara ya kwanza alinipigia simu usiku kuhusu hizo taarifa za kifo tena tulikuwa mkoani ilibidi turudi Dar Es Salaam na Aslay sio kama amekwama” 

“Kwa hiyo tulichofanya ni kutoa taarifa polisi ila ubaya watu wanaoimiliki hiyo akaunti ya YouTube hawajulikani, na tumewashtaki kwenye mtandao huo kwahiyo baada ya wiki 2 zitashushwa zile taarifa”.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *