Mchezaji tenisi atoa heshma kwa waathiriwa wa ubaguz.

September 10, 2020

Mchezaji tenisi Naomi Osaka amekuwa akiwapa heshma waathiriwa weusi wa ubaguzi wa rangi kwa kuvalia barakoa zilizo na majina yao katika mashindano ya US Open. Katika shindano lake la hivi karibuni alivalia barakoa ilioandikwa George Floyd,mmarekani mweusi alieuwawa mikonoi mwa polisi.Hata hivyo familia za waathiriwa zimempongeza kwa tukio hilo.

Source link

,Mchezaji tenisi atoa heshma kwa waathiriwa wa ubaguz. Mchezaji tenisi Naomi Osaka amekuwa akiwapa heshma waathiriwa weusi wa ubaguzi wa…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *