Mbwana Samatta Atua Bongo….

October 6, 2020

 

MBWANA Samatta amewasili leo kwa ajili ya kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania inayojiandaa na mchezo wa kirafiki uliopo Kwenye kalenda ya FIFA dhidi ya Burundi, Oktoba 11.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *