Matteo atua Hertha Berlin,

October 6, 2020

Club ya Hertha Berlin ya Ujerumani imemsajulili kwa mkopo Matteo Guendouzi kutokea club ya Arsenal ya England kwa kipindi cha msimu mzima.

Arsenal wamemuachia Matteo ili aende Hertha Berlin akakomae zaidi kiuwezo, wakati huu akiwa bado kinda mwenye umri wa miaka 21.

Matteo ni mchezaji aliyelelewa katika vilabu vya vijana vya PSG na Lorient vya Ufaransa kabla ya 2018 kusajiliwa na Arsenal akitokea timu ya wakubwa ya Lorient.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *