Mateso Aliyoyapata Mmarekani Mweusi Hadi Kufariki, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 4, 2020

Mtu mmoja mweusi nchini Marekani, Daniel Prude amefariki Dunia baada ya kundi la Polisi nchini humo kumvalisha kofia na kisha kugandamizwa kichwa chake kwenye barabara ya lami kwa dakika mbili.Inaaminika kuwa, Prude aliuwawa March 3, 2020 baada ya kufanyiwa tukio hilo kisha watoa msaada wa huduma za afya kumuwahisha hospitali na kupoteza maisha siku saba baada ya kufanyiwa tukio hilo.Kifo chake hakikufahamika na watu wengi kabla ya jana familia yake kufanya mkutano na waandishi wa habari kisha kuachia kipande cha video kikiwaonyesha polisi walivyomfanyia tukio hilo.Kaka wa Prude, Joe alihoji, “Ni wangapi watapoteza maisha katika jamii mpaka watu waelewe kwamba haya matukio yanapaswa kupigwa vita?.,

Mtu mmoja mweusi nchini Marekani, Daniel Prude amefariki Dunia baada ya kundi la Polisi nchini humo kumvalisha kofia na kisha kugandamizwa kichwa chake kwenye barabara ya lami kwa dakika mbili.

Inaaminika kuwa, Prude aliuwawa March 3, 2020 baada ya kufanyiwa tukio hilo kisha watoa msaada wa huduma za afya kumuwahisha hospitali na kupoteza maisha siku saba baada ya kufanyiwa tukio hilo.

Kifo chake hakikufahamika na watu wengi kabla ya jana familia yake kufanya mkutano na waandishi wa habari kisha kuachia kipande cha video kikiwaonyesha polisi walivyomfanyia tukio hilo.

Kaka wa Prude, Joe alihoji, “Ni wangapi watapoteza maisha katika jamii mpaka watu waelewe kwamba haya matukio yanapaswa kupigwa vita?.
,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *