Mastaa Hawa Wamefunikana Kwelikweli Kwenye Ligi

September 10, 2020

TAYARI kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania Bara kimeanza ambapo timu nyingi kwa sasa zimeanza kusaka pointi tatu ndani ya uwanja kwa msimu wa 2020/21.Mabingwa watetezi ni Simba, walitwaa taji hilo msimu wa 2019/20 baada ya kucheza mechi 38 na kujiwekea kibindoni pointi 88.Tayari Septemba 6 walikiwasha huku na watani zao wa jadi Yanga nao walikiwasha pia.Simba wao walikuwa Uwanja wa Sokoine kumenyana na Ihefu ambapo ilishinda mabao 2-1, Yanga wao walijiwekea ngome pale Uwanja wa Mkapa na ilitoshana nguvu kwa safari yake imeanza ndani ya Uwanja wa Sokoine na ana kazi ya kukiongoza kikosi chake kutetea taji la Ligi Kuu Bara.Bocco aliyeyusha dakika zote 90 na alikiri kwamba Ihefu FC sio timu ya mchezomchezo ndani ya ligi licha ya kwamba ni msimu wake wa kwanza.JOASH ONYANGOLicha ya kwamba hakuwa na chaguo wakati akishuhudia shuti la Omary Mponda likizama ndani ya nyavu za kipa wake Aishi Manula, Onyango alipambana.Kazi kubwa ilikuwa ni kuokoa hatari za Jordan John ambaye alikuwa ni msumbufu kwenye kambi yake aliweza kuokoa hatari mbili zilizokuwa zinakwenda langoni mwake.Ameanza kujenga maelewano mazuri na mzawa, Kened Juma ambaye alikuwa kwenye kiwango bora mbele ya mabao yote mawili ya Simba, Uwanja wa Sokoine.Alitoa pasi ya bao kwa nahodha John Bocco na alimaliza kazi aliyoianzisha yeye mwenyewe ya kupiga faulo aliyompa Clatous Chama, kisha Chama akammegea pande la pasi iliyojazwa kimiani na ‘bichwa’ lake na kuwafanya Simba wasepe na pointi tatu mazima.Mechi yake ya kwanza ya msimu wa 2019/20 wakati Simba ikishinda mabao 3-1 mbele ya JKT Tanzania alihusika kwenye mabao mawili ambapo yote alitoa pasi Uwanja wa Uhuru ila msimu huu amefunga bao moja.CLATOUS CHAMAAmeanza kasi ya kuifukuzia rekodi yake ya utulivu Uwanja wa Mkapa, Septemba 6 huenda angesepa na mpira wake wa kwanza kwa kufunga ‘hat trick’ kwa kuwa alikosa nafasi nne ambazo mashabiki walikuwa wanahesabu kuwa ni mabao.Alianza kwa kusepa na kijiji chake dakika ya 65 aliachia shuti ambalo lilitoka nje kidogo ya lango na dakika ya 80 alipiga shuti kali lilikweda nje kidogo ya lango. Akitumia dakika 45 alisababisha kona nne na alitoa jumla ya pasi 18.MICHAEL SARPONGAliweza kutumia dakika 12 kuweka usawa ndani ya uwanja baada ya Lambart Charlse kuwatungua dakika ya 7 ambapo yeye aliweka usawa dakika ya 19 kwa shuti kali ndani ya 18 lilimshinda mlinda mlango wa Prisons, Jeremia Kisubi.kufungana bao 1-1 na Tanzania Prisons.Championi Jumatano linakuletea namna nyota wa miamba hiyo miwili walivyokinukisha ndani ya uwanja hawa ni nyota wa Simba:-BERNARD MORRISONAmekabidhiwa jukumu la kupiga mipira iliyokufa ndani ya Simba. Alitumia dakika 67 uwanjani. Aliweza kuingia ndani ya box mara 10 na alisababisha kona moja na alipiga kona tatu ndani ya Simba.Makeke yake Uwanja wa Sokoine kwa nyota huyo mwenye mabao mawili na pasi moja yaliwekwa mfukoni na safu ya mabeki wa Ihefu iliyokuwa chini ya Omary Kindamba aliyekuwa ni mtibua mipango namba moja kwa Simba.MZAMIRU YASSINMzawa huyu ndiye nyota wa mchezo kwa kuwa aliweza kuhusika kwenye Ihefu.Hawa wababe wa Yanga mbele ya Tanzania Prisons,

TAYARI kivumbi cha Ligi Kuu Tanzania Bara kimeanza ambapo timu nyingi kwa sasa zimeanza kusaka pointi tatu ndani ya uwanja kwa msimu wa 2020/21.

Mabingwa watetezi ni Simba, walitwaa taji hilo msimu wa 2019/20 baada ya kucheza mechi 38 na kujiwekea kibindoni pointi 88.

Tayari Septemba 6 walikiwasha huku na watani zao wa jadi Yanga nao walikiwasha pia.Simba wao walikuwa Uwanja wa Sokoine kumenyana na Ihefu ambapo ilishinda mabao 2-1, Yanga wao walijiwekea ngome pale Uwanja wa Mkapa na ilitoshana nguvu kwa safari yake imeanza ndani ya Uwanja wa Sokoine na ana kazi ya kukiongoza kikosi chake kutetea taji la Ligi Kuu Bara.

Bocco aliyeyusha dakika zote 90 na alikiri kwamba Ihefu FC sio timu ya mchezomchezo ndani ya ligi licha ya kwamba ni msimu wake wa kwanza.

JOASH ONYANGO

Licha ya kwamba hakuwa na chaguo wakati akishuhudia shuti la Omary Mponda likizama ndani ya nyavu za kipa wake Aishi Manula, Onyango alipambana.

Kazi kubwa ilikuwa ni kuokoa hatari za Jordan John ambaye alikuwa ni msumbufu kwenye kambi yake aliweza kuokoa hatari mbili zilizokuwa zinakwenda langoni mwake.

Ameanza kujenga maelewano mazuri na mzawa, Kened Juma ambaye alikuwa kwenye kiwango bora mbele ya mabao yote mawili ya Simba, Uwanja wa Sokoine.

Alitoa pasi ya bao kwa nahodha John Bocco na alimaliza kazi aliyoianzisha yeye mwenyewe ya kupiga faulo aliyompa Clatous Chama, kisha Chama akammegea pande la pasi iliyojazwa kimiani na ‘bichwa’ lake na kuwafanya Simba wasepe na pointi tatu mazima.

Mechi yake ya kwanza ya msimu wa 2019/20 wakati Simba ikishinda mabao 3-1 mbele ya JKT Tanzania alihusika kwenye mabao mawili ambapo yote alitoa pasi Uwanja wa Uhuru ila msimu huu amefunga bao moja.

CLATOUS CHAMA

Ameanza kasi ya kuifukuzia rekodi yake ya utulivu Uwanja wa Mkapa, Septemba 6 huenda angesepa na mpira wake wa kwanza kwa kufunga ‘hat trick’ kwa kuwa alikosa nafasi nne ambazo mashabiki walikuwa wanahesabu kuwa ni mabao.

Alianza kwa kusepa na kijiji chake dakika ya 65 aliachia shuti ambalo lilitoka nje kidogo ya lango na dakika ya 80 alipiga shuti kali lilikweda nje kidogo ya lango. Akitumia dakika 45 alisababisha kona nne na alitoa jumla ya pasi 18.

MICHAEL SARPONG

Aliweza kutumia dakika 12 kuweka usawa ndani ya uwanja baada ya Lambart Charlse kuwatungua dakika ya 7 ambapo yeye aliweka usawa dakika ya 19 kwa shuti kali ndani ya 18 lilimshinda mlinda mlango wa Prisons, Jeremia Kisubi.kufungana bao 1-1 na Tanzania Prisons.

Championi Jumatano linakuletea namna nyota wa miamba hiyo miwili walivyokinukisha ndani ya uwanja hawa ni nyota wa Simba:-

BERNARD MORRISON

Amekabidhiwa jukumu la kupiga mipira iliyokufa ndani ya Simba. Alitumia dakika 67 uwanjani. Aliweza kuingia ndani ya box mara 10 na alisababisha kona moja na alipiga kona tatu ndani ya Simba.

Makeke yake Uwanja wa Sokoine kwa nyota huyo mwenye mabao mawili na pasi moja yaliwekwa mfukoni na safu ya mabeki wa Ihefu iliyokuwa chini ya Omary Kindamba aliyekuwa ni mtibua mipango namba moja kwa Simba.

MZAMIRU YASSIN

Mzawa huyu ndiye nyota wa mchezo kwa kuwa aliweza kuhusika kwenye Ihefu.Hawa wababe wa Yanga mbele ya Tanzania Prisons,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *