Mashtaka kuhusu kushambuliwa kwa ofisi za jarida la tashtit yaanza Paris, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 2, 2020 at 1:00 pm

September 2, 2020

Nchini Ufaransa watu 14 wamefikishwa mahakamani leo, wakikabiliwa na mashtaka ya kuwasadia wafuasi wa itikadi kali walioshambulia ofisi za jarida la tashtiti la Charlie Hebdo, pamoja na duka kubwa la Wayahudi Januari 2015, na kusababisha vifa vya watu 17 katika muda wa siku tatu. Watuhumiwa 11 miongoni mwa hao watapandisahwa kizimbani kukabiliana na mashitaka ya kupanga njama katika tukio hilo la kigaidi au kujihusisha na kundi la kigaidi. Watatu miongoni mwa watuhumiwa hao walitorokea katika maeneo yanayodhibitiwa na kundi la Dola la Kiislamu nchini Syra ua Iraq, siku kadhaa kabla ya mashambulizi.,

Nchini Ufaransa watu 14 wamefikishwa mahakamani leo, wakikabiliwa na mashtaka ya kuwasadia wafuasi wa itikadi kali walioshambulia ofisi za jarida la tashtiti la Charlie Hebdo, pamoja na duka kubwa la Wayahudi Januari 2015, na kusababisha vifa vya watu 17 katika muda wa siku tatu.

Watuhumiwa 11 miongoni mwa hao watapandisahwa kizimbani kukabiliana na mashitaka ya kupanga njama katika tukio hilo la kigaidi au kujihusisha na kundi la kigaidi. 

Watatu miongoni mwa watuhumiwa hao walitorokea katika maeneo yanayodhibitiwa na kundi la Dola la Kiislamu nchini Syra ua Iraq, siku kadhaa kabla ya mashambulizi.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *