Mashabiki wa yanga walio wafanyia vurugu simba wafungiwa,

October 3, 2020

TAARIFA kutoka Bodi ya Ligi Tanzania leo Oktoba 2 kuhusu matukio mbalimbali ambayo yamefanyiwa maamuzi baada ya Kamati ya Kusimamia Ligi Kuu Bara kupitia matukio mbalimbali.

Miongoni mwa waliopewa adhabu ni pamoja na mashabiki wa Klabu ya Yanga ambao waliwapiga mashabiki wa Simba na kuwachania jezi,kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Adhabu waliyopewa ni pamoja na faini na kufungiwa kutoingia uwanjani kwa muda wa miezi 12

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *