Martha Kulipwa Sawa na Neymar Brazil, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 4, 2020

Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Brazil watalipwa posho sawa na wachezaji wa timu ya wanaume ametangaza Rais wa shirikisho la soka Brazil CBF Rogerio Caboclo.CBF inakuwa miongoni mwa mashirikisho machache Duniani yanayolipa posho sawa kwa timu za taifa za wanawake na wanaume, mataifa mengine yanayofanya hivyo ni Astrallia, Norway na New Zealand.Malipo haya yataanza katika michuano ya Olympic itakayofanyika mwakani na katika fainali za kombe la DuniaRogerio Caboclo. Amesema ‘itakuwa sawa kwa wote kama mapendekezo ya FIFA yanavyotaka kwenye soka la wanawake, hivyo hakutakuwa na utofauti wa jinsia’.,

Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Brazil watalipwa posho sawa na wachezaji wa timu ya wanaume ametangaza Rais wa shirikisho la soka Brazil CBF Rogerio Caboclo.

CBF inakuwa miongoni mwa mashirikisho machache Duniani yanayolipa posho sawa kwa timu za taifa za wanawake na wanaume, mataifa mengine yanayofanya hivyo ni Astrallia, Norway na New Zealand.

Malipo haya yataanza katika michuano ya Olympic itakayofanyika mwakani na katika fainali za kombe la Dunia

Rogerio Caboclo. Amesema ‘itakuwa sawa kwa wote kama mapendekezo ya FIFA yanavyotaka kwenye soka la wanawake, hivyo hakutakuwa na utofauti wa jinsia’.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *