Marekani yawawekea vikwazo walioshiriki kuvuruga uchaguzi wa majimbo Nchini Nigeria, on September 15, 2020 at 8:00 am

September 15, 2020

 Raia wa Nigeria walioshiriki “Kuchakachua” matokeo ya Uchaguzi wa Majimbo hawataruhusiwa kuingia nchini Marekani baada ya kuwekewa vikwazoImeelezwa kuwa Uchaguzi uliofanyika mwaka jana katika Majimbo ya Kogi na Bayelsa haukuwa wa Kidemokrasia hivyo matokeo yake yalivurugwaWaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Michael Pompeo aliyetangaza marufuku hiyo hajaweka wazi majina ya waliowekewa vikwazo hivyoMarekani imetumia nafasi hiyo kutangaza kuendelea kuunga mkono michakato ya Kidemokrasia katika chaguzi na kukemea vurugu zozote zenye lengo la kuharibu Uchaguzi,

 

Raia wa Nigeria walioshiriki “Kuchakachua” matokeo ya Uchaguzi wa Majimbo hawataruhusiwa kuingia nchini Marekani baada ya kuwekewa vikwazo

Imeelezwa kuwa Uchaguzi uliofanyika mwaka jana katika Majimbo ya Kogi na Bayelsa haukuwa wa Kidemokrasia hivyo matokeo yake yalivurugwa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Michael Pompeo aliyetangaza marufuku hiyo hajaweka wazi majina ya waliowekewa vikwazo hivyo

Marekani imetumia nafasi hiyo kutangaza kuendelea kuunga mkono michakato ya Kidemokrasia katika chaguzi na kukemea vurugu zozote zenye lengo la kuharibu Uchaguzi

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *