Manara “Watu Wote Waliohusika Kufanya Mabadiliko Simba Barbra Anawasingizia Kesi za Kuihujumu Simba”

August 4, 2021

“Barbra huyu anasema Kashembe anahujumu Simba? Kashembe huyu aliehusika kwenye transformation? Kifupi watu wote muhimu walioapambana transformation ipite leo hii wanaonekana hawana maana, Barbra huyo” Haji Manara
Reposted from @shaffihdauda_ MANARA PRESS CONFERENCE| SERENA, DSM
“Kila anaeondoka Simba tu basi sababu ni kuhujumu, wameondoka zaidi ya watu 12 kwa kosa moja, mara Mbaga, mara Senzo na sasa Haji kaondoka, haya yote yapo chini ya Barbra ndie muhusika wa yote” Haji Manara

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *