Manara Atapika Nyongo “Senzo Alivyokuja Simba Alipewa Kazi ya Kunifukuzisha Kazi Mimi”

August 4, 2021

“Wakati Senzo anakuja kwa mara ya kwanza, alinifuata na kuniambia amepewa kazi ya kunifukuza Mimi kazi, lakini Senzo alihoji kwanini nimfukuze bila sababu?”
“Kifupi walimleta ili atekeleze matakwa ya wakubwa ila Senzo alisimama imara sana, alipinga kufanya kitu bila kukichunguza ndicho kilichomuondoa Simba”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *