Mambo Yazidi Kupamba MOTO Mume wa Qeen Darling Amjibu Mange Kimambi…”Kila Mtu Ataacha Mdomo Wazi”

October 12, 2020

 My Wife @queendarleen_ Mama @balqis.isihaka Hongera na Pole ila najua watu wengi hawakujui wanakuona tu kwenye mitandao na kila mtu anaongea lake…Thaman yako kwangu naijua mimi ila waache waongee na nikiamua kuongea mimi wakijua ukweli kila mtu ataacha mdomo wazi kwa vitu ntakavyoongea…

Ila nashukuru mungu nimeumbwa na uvumilivu wa kutoongea mambo ya ndan ya Familia ila itafika muda ntaongea! #DontGiveUp #NoRespectNoLove

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *