Makampuni ya Somalia ‘yalitumiwa kuwalipa wauzaji wa silaha’, on September 18, 2020 at 8:00 am

September 18, 2020

Ripoti kuhusu mifumo maarufu ya usafirishaji wa fedha imebaini kuwa dola milioni 3.5 taslimu zimekuwa zikisafirishwa kati ya watu wanaoshukiwa kuwa wauzaji wa silaha katika miaka ya hivi karibuni.Ripoti hiyo ya shirika la kimataifa la mapambano dhidi ya usafirishaji wa pesa za ugaidi – The Global Initiative Against Transnational Organized Crime, inadai kwamba msambazaji maarufu wa silaha wa Ymen aliweza kupokea maelfu ya dola kwa njia ya malipo au zawadi , licha ya kuwekewa vikwazo naMarekani.Ufichuzi wa ripoti hyo unaweza kuzuwia zaidi majaribio ya makampuni ya usafirishaji wa fedha ya Kisomali kufanya kazi na benki za kimataifa ambazo zinahofu ya kuvunja sheria za usafirishaji wa fedha.Yakijibu ripoti hiyo, makampuni ya Kisomali yameliambia shirika la habari la Rheuters kwamba walifanya kila wawezavyo kutekeleza sheria za kimataifa za udhibiti.,

Ripoti kuhusu mifumo maarufu ya usafirishaji wa fedha imebaini kuwa dola milioni 3.5 taslimu zimekuwa zikisafirishwa kati ya watu wanaoshukiwa kuwa wauzaji wa silaha katika miaka ya hivi karibuni.

Ripoti hiyo ya shirika la kimataifa la mapambano dhidi ya usafirishaji wa pesa za ugaidi – The Global Initiative Against Transnational Organized Crime, inadai kwamba msambazaji maarufu wa silaha wa Ymen aliweza kupokea maelfu ya dola kwa njia ya malipo au zawadi , licha ya kuwekewa vikwazo naMarekani.

Ufichuzi wa ripoti hyo unaweza kuzuwia zaidi majaribio ya makampuni ya usafirishaji wa fedha ya Kisomali kufanya kazi na benki za kimataifa ambazo zinahofu ya kuvunja sheria za usafirishaji wa fedha.

Yakijibu ripoti hiyo, makampuni ya Kisomali yameliambia shirika la habari la Rheuters kwamba walifanya kila wawezavyo kutekeleza sheria za kimataifa za udhibiti.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *