Maisha ya Ommy Dimpoz yalivyobadilika Baada ya Surgery, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 2, 2020

Tukiwa kwenye vugu vugu la uchaguzi mkuu na campaign za vyama mbali mbali na mapambano bado yanaendelea ya kutafuta kijio Cha kila siku.Nimebahatika kusikiliza interview ya salama na Seven Mosha (aliyekuwa manager wa Ali Kiba) moja Kati ya Mambo aliyozungumza ni hali aliyo kuwa naye OMY DIMPOZ wakati wa surgery na baada ya surgery.Seven anasema anashukuru Mungu mpaka Ssasa OMY DIMPOZ kuwa hai maana kipindi chote wakati anamuuguza alikuwa na hali mbaya kwa takriban week moja baada ya surgery ilikuwa hawezi lolote na kama anataka kitu anampa karatasi na kalamu aandike hawezi kula na kwa kipindi chote ilikuwa anatumia juice au maji tena kwa kiwango kidogo Sana.Seven anasema OMY alikuwa na tatizo katika mfumo wa chakula na upumuaji ( oesophogus), ambapo upumuaji wake ulikuwa wa shida sana wakampeleka Kenya kwa check-up lakini ikashindikana ikabidi wampeleke South Africa kwa More check-up ambapo baada ya vipimo na surgery wali replace oesophogus na kupandikiza nyingine na waka block Ile ya Kwanza baada ya heavy surgery wakaruhusiwa kuondoka baada ya muda Ila wakapewa tarehe ya kurudi mara kwa mara kwa ajili ya check-up na waliporudi waliambiwa Ile old oesophogus imeziba kutokana na uchafu na inatakiwa surgery nyingine ambapo doctor husika alikataa kufanya for second timeBaada ya Doctor kukataa kufanya second surgery ikabidi Seven awasiliane na GAVANA JOHO wa Kenya wakampleka Germany ila madaktari waliweza ku-deal na tatizo bila second surgery Ila mpaka sasa hivi mfumo wa kula na aina ya vyakula umebadilika sana kwa msanii huyo na anaishi kwa wasi wasi sana na kula kwa shida kwani amekuwa muoga toka kupata majanga hayo.N:B- Maisha ni mafupi sana na lolote linaweza kumpata mtu yeyote tuishi kwa amani na upendo siku zote,

Tukiwa kwenye vugu vugu la uchaguzi mkuu na campaign za vyama mbali mbali na mapambano bado yanaendelea ya kutafuta kijio Cha kila siku.

Nimebahatika kusikiliza interview ya salama na Seven Mosha (aliyekuwa manager wa Ali Kiba) moja Kati ya Mambo aliyozungumza ni hali aliyo kuwa naye OMY DIMPOZ wakati wa surgery na baada ya surgery.

Seven anasema anashukuru Mungu mpaka Ssasa OMY DIMPOZ kuwa hai maana kipindi chote wakati anamuuguza alikuwa na hali mbaya kwa takriban week moja baada ya surgery ilikuwa hawezi lolote na kama anataka kitu anampa karatasi na kalamu aandike hawezi kula na kwa kipindi chote ilikuwa anatumia juice au maji tena kwa kiwango kidogo Sana.

Seven anasema OMY alikuwa na tatizo katika mfumo wa chakula na upumuaji ( oesophogus), ambapo upumuaji wake ulikuwa wa shida sana wakampeleka Kenya kwa check-up lakini ikashindikana ikabidi wampeleke South Africa kwa More check-up ambapo baada ya vipimo na surgery wali replace oesophogus na kupandikiza nyingine na waka block Ile ya Kwanza baada ya heavy surgery wakaruhusiwa kuondoka baada ya muda Ila wakapewa tarehe ya kurudi mara kwa mara kwa ajili ya check-up na waliporudi waliambiwa Ile old oesophogus imeziba kutokana na uchafu na inatakiwa surgery nyingine ambapo doctor husika alikataa kufanya for second time

Baada ya Doctor kukataa kufanya second surgery ikabidi Seven awasiliane na GAVANA JOHO wa Kenya wakampleka Germany ila madaktari waliweza ku-deal na tatizo bila second surgery Ila mpaka sasa hivi mfumo wa kula na aina ya vyakula umebadilika sana kwa msanii huyo na anaishi kwa wasi wasi sana na kula kwa shida kwani amekuwa muoga toka kupata majanga hayo.

N:B- Maisha ni mafupi sana na lolote linaweza kumpata mtu yeyote tuishi kwa amani na upendo siku zote,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *