Magufuli “Kazi ilitakiwa iishe July leo mwezi wa 10, mradi mzuri ila sivutiwi na jinsi kazi inavyoenda”

October 8, 2020

 

 “Huu mradi wa Stand Mbezi Luis nimeambiwa tangia ulipoanza ulitakiwa umalizike July haujamalizika, na hili lazima Mh.Rais Chakwera niliseme kwa dhati kisingizio ni corona, Mimi nataka wafanye mpaka wawe wanafia hapa na corona jengo limalizike haraka” -JPM

“Am very sorry Rais Chakwera inabidi niseme hili sivutiwi na jinsi kazi inavyoenda hapa Stand Mbezi Luis, Mkataba huu ni wa Bil 71, kazi ilitakiwa iishe July leo mwezi wa 10, mradi mzuri ila utekelezaji wake very poor nalizungumza mbele ya Rais wa Malawi”-JPM

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *