Magufuli Amvulia Kofia Harmonize…Meneja Wake Afunguka

September 14, 2020

Staa wa muziki na bosi wa lebo ya Konde Gang Music Worldwide Rajab Abdul ‘Harmonize’ amefunguka kupewa heshima ya kofia na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, kwenye kampeni wilayani Chato, Geita.Harmo amesema kuwa ni heshima kubwa kwake na amefurahi kutokana na jinsi Rais John Pombe Magufuli alivyomuheshimu. Kupitia meneja wake Beauty Mmari ‘Mjerumani’ akizungumza na Global Publishers amesema kuwa ni heshima kwao na ni kitu kizuri.‘Ni kitu kizuri tunashukuru na mwendelezo wa mheshimiwa wa rais kutambua mchango wa kazi za vijana na kuwakubali katika kazi zao, pia tumepokea kwa heshima kubwa na rais akifanya chochote juu yako ni heshima kubwa kupitia hilo milango itafunguka.,

Staa wa muziki na bosi wa lebo ya Konde Gang Music Worldwide Rajab Abdul ‘Harmonize’ amefunguka kupewa heshima ya kofia na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, kwenye kampeni wilayani Chato, Geita.

Harmo amesema kuwa ni heshima kubwa kwake na amefurahi kutokana na jinsi Rais John Pombe Magufuli alivyomuheshimu.

 
Kupitia meneja wake Beauty Mmari ‘Mjerumani’ akizungumza na Global Publishers amesema kuwa ni heshima kwao na ni kitu kizuri.

‘Ni kitu kizuri tunashukuru na mwendelezo wa mheshimiwa wa rais kutambua mchango wa kazi za vijana na kuwakubali katika kazi zao, pia tumepokea kwa heshima kubwa na rais akifanya chochote juu yako ni heshima kubwa kupitia hilo milango itafunguka.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *