Magufuli aeleza Kitwanga alivyomsumbua, on September 8, 2020 at 10:00 am

September 8, 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt John Pombe Magufuli, amekumbuka jinsi ambavyo aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Misungwi Charles Kitwanga alivyokuwa akimsumbua kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya Usagara, ambayo hapo mwanzo haikuwepo.Dkt Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 8, 2020, wakati akizugumza na kumnadi mgombea wa sasa wa Jimbo la Misungwi, Alexander Mnyeti katika eneo la Usagara.”Mimi nataka tu nieleze ukweli,  nilikuwa na Mbunge hapa Mh Kitwanga alikuwa ananisumbua sana, baadhi ya miradi nataka kuwaeleza mipango iliyofanyika hapa ni mingi hata hii Barabara haikuwepo katika kipindi cha miaka mitano tuliifanya na aliyenisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alinisumbua sana ujenzi wa barabara hiyo”, amesema Rais Magufuli.,

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt John Pombe Magufuli, amekumbuka jinsi ambavyo aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Misungwi Charles Kitwanga alivyokuwa akimsumbua kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya Usagara, ambayo hapo mwanzo haikuwepo.

Dkt Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 8, 2020, wakati akizugumza na kumnadi mgombea wa sasa wa Jimbo la Misungwi, Alexander Mnyeti katika eneo la Usagara.

“Mimi nataka tu nieleze ukweli,  nilikuwa na Mbunge hapa Mh Kitwanga alikuwa ananisumbua sana, baadhi ya miradi nataka kuwaeleza mipango iliyofanyika hapa ni mingi hata hii Barabara haikuwepo katika kipindi cha miaka mitano tuliifanya na aliyenisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alinisumbua sana ujenzi wa barabara hiyo”, amesema Rais Magufuli.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *