Magaidi watatu wajisalimisha Şırnak kwa jeshi la Uturuki, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 3, 2020 at 6:00 am

September 3, 2020

Taarifa  kuhusu kujisalimisha kwa   magaidi hayo imetolewa na  wizara ya mambo ya ndani ikifahamisha kuwa magaidi hao wamejisalimisha baada ya kuelemewa katika operesheni tofauti zilizoendeshwa na jeshi la Uturuki .Jeshi la Uturuki limeendesha operesheni tofauti dhidi ya ugaidi katika maeneo tofauti katika mipaka ya Uturuki na Syria na Uturuki na Irak.Taarifa hiyo iliotolewa na wizara ya mambo ya ndani ya Uturuki imefahamisha kuwa  magaidi hao waliojisalimisha ni miongoni mwa magaidi   waliojiunga na kundi la PKK miaka 6 iliopita mpakani mwa Uturuki na Irak.Idadi ya magaidi ambao wamekwishajisalimisha   kwa jeshi la Uturuki imefikia  magaidi  144.,

Taarifa  kuhusu kujisalimisha kwa   magaidi hayo imetolewa na  wizara ya mambo ya ndani ikifahamisha kuwa magaidi hao wamejisalimisha baada ya kuelemewa katika operesheni tofauti zilizoendeshwa na jeshi la Uturuki .

Jeshi la Uturuki limeendesha operesheni tofauti dhidi ya ugaidi katika maeneo tofauti katika mipaka ya Uturuki na Syria na Uturuki na Irak.

Taarifa hiyo iliotolewa na wizara ya mambo ya ndani ya Uturuki imefahamisha kuwa  magaidi hao waliojisalimisha ni miongoni mwa magaidi   waliojiunga na kundi la PKK miaka 6 iliopita mpakani mwa Uturuki na Irak.

Idadi ya magaidi ambao wamekwishajisalimisha   kwa jeshi la Uturuki imefikia  magaidi  144.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *