Macron ‘kukutana na kiongozi wa Ivory Coast Ouattara’ licha ya mzozo wa uchaguzi, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 4, 2020 at 8:00 am

September 4, 2020

Rais Alassane Ouattara ameteuliwa na chama tawala kugombea muhula wa tatu madarakaniImage caption: Rais Alassane Ouattara ameteuliwa na chama tawala kugombea muhula wa tatu madarakaniRais wa Ufaransa Emmanuel Macron atakutana na mwenzake wa Ivory Coast Alassane Ouattara mjini Paris leo Ijumaa, kwa mujibu wa taarifa ya shirka la habari la AFP inayonukuu vyanzo vy ahabari katika ofisi ya rais wa Ufaransa.Uamuzi wa bwana Ouattara kugombea muhula wa tatu wa urais katik auchaguzi utakaofanyika mwezi Octoba umezua taharuki na maandamano nchini.Awali alikuwa amesema hatogombea, lakini akabadili msimamu huo kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Amadou Gon Coulibaly,aliyekuwa ameteuliwa na chama tawala kuwa mrithi.Wapinzani wake wanasema jaribio lake la kugombea muhula wa tatu linakiuka katiba.,

Rais Alassane Ouattara ameteuliwa na chama tawala kugombea muhula wa tatu madarakaniImage caption: Rais Alassane Ouattara ameteuliwa na chama tawala kugombea muhula wa tatu madarakani

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atakutana na mwenzake wa Ivory Coast Alassane Ouattara mjini Paris leo Ijumaa, kwa mujibu wa taarifa ya shirka la habari la AFP inayonukuu vyanzo vy ahabari katika ofisi ya rais wa Ufaransa.

Uamuzi wa bwana Ouattara kugombea muhula wa tatu wa urais katik auchaguzi utakaofanyika mwezi Octoba umezua taharuki na maandamano nchini.

Awali alikuwa amesema hatogombea, lakini akabadili msimamu huo kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Amadou Gon Coulibaly,aliyekuwa ameteuliwa na chama tawala kuwa mrithi.

Wapinzani wake wanasema jaribio lake la kugombea muhula wa tatu linakiuka katiba.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *