Maalim Seif Arejesha Fomu za Urais ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), on September 9, 2020 at 2:58 pm

September 9, 2020

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amefika katika ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na kurejesha fomu yake leo ambapo ni mwisho wa zoezi hilo na wagombea walitakiwa kuzirudisha kabla ya saa 10 jioni.,

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amefika katika ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) na kurejesha fomu yake leo ambapo ni mwisho wa zoezi hilo na wagombea walitakiwa kuzirudisha kabla ya saa 10 jioni.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *