Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wahamishiwa hospitali ya Muhimbili, on September 8, 2020 at 6:00 am

September 8, 2020

 Wasanii wa Bongo Fleva Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau waliopata ajali wakiwa wanatokea mkoani Iringa wamehamishiwa Hospitaliti ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam kwa matibabu zaidi kutoka kituo cha Afya Chalinze.Wasanii hao walipata ajali leo Jumatatu Septemba 7, 2020 saa kumi alfajiri maeneo ya Mwidu, Chalinze mkoani Pwani wakiwa wametokea mkoani Iringa kuelekea Dar es Salaam,

 

Wasanii wa Bongo Fleva Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau waliopata ajali wakiwa wanatokea mkoani Iringa wamehamishiwa Hospitaliti ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dar es Salaam kwa matibabu zaidi kutoka kituo cha Afya Chalinze.

Wasanii hao walipata ajali leo Jumatatu Septemba 7, 2020 saa kumi alfajiri maeneo ya Mwidu, Chalinze mkoani Pwani wakiwa wametokea mkoani Iringa kuelekea Dar es Salaam

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *