London Marathon 2020: Eliud Kipchoge ashindwa kutetea rekodi yake

October 4, 2020

Dakika 3 zilizopita

Shura Kitata runs ahead of Vincent Kipchumba and Sisay Lemma

Maelezo ya picha,

Shura Kitata beat Vincent Kipchumba and Sisay Lemma in a sprint finish

Nafasi ya mwanariadha wa Kenya aliyevunja rekodi ya dunia imechukuliwa na Shura Kitata katika mashindano ya mbio ya London Marathon.

Ushindi wa Shura Kitata unadaiwa kuwa haukutarajiwa.

Kwa mara nne mfululizo Kipchoge aliibuka kuwa mshindi lakini sasa amebaki nyuma kwa hatua mbili.

Mwanariadha wa Ethiopia, Kitata amesababisha mwanariadha wa Kenya Vincent Kipchumba kurudi nyumbani ndani ya saa mbili na dakika tano na sekunde 41.

Brigid Kosgei, ndio amevunjwa rekodi ya wanariadha wanawake na kuendelea kutunza taji lake.

“Nimesikitika kiukweli,” Kipchoge amesema. “Sijui nini kilitokea.

kIP

“15km za mwisho nilihisi miguu yangu imepata mshtuko, nilihisi sikio langu la kulia lilikuwa limeziba.

Nilikuwa sijisikii vizuri kuanzia kwenye mapaja mpaka miguu.

“Hali hiyo imenitokea kwenye mashindano, nilianza nikiwa mzima tu.Ni baridi sana lakini siwezi kulaumu hali ya hewa.”

Kosgei asalia kwenye nafasi yake

Brigid Kosgei

Maelezo ya picha,

Kosgei alishinda kwa mara ya kwanza Chicago 2018

Source link

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *