Kusah: Aunt Ezekiel Hana Mimba Yangu

September 8, 2020

BAADA ya hivi karibuni kuhusishwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Aunty Ezekiel, msanii wa Bongo Fleva, Kusah, amekanusha suala hilo huku akisema hajui limetokea wapi.Kusah amesema:- “Kwanza kabisa maneno mi nayasikia, lakini mimi Aunty Ezekiel sio mpenzi wangu na hana ujauzito wangu na sijui hata hivyo vitu vinatokea wapi.  Labda kwa sababu ananisupport, lakini hakuna kitu chochote kinachoendelea kati yetu,” alisema.,

BAADA ya hivi karibuni kuhusishwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Aunty Ezekiel, msanii wa Bongo Fleva, Kusah, amekanusha suala hilo huku akisema hajui limetokea wapi.

Kusah amesema:- “Kwanza kabisa maneno mi nayasikia, lakini mimi Aunty Ezekiel sio mpenzi wangu na hana ujauzito wangu na sijui hata hivyo vitu vinatokea wapi.  Labda kwa sababu ananisupport, lakini hakuna kitu chochote kinachoendelea kati yetu,” alisema.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *