Kumbukumbu ya Mauaji Mabaya Yaliyowahi Kutokea Duniani, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 2, 2020

Kumbukumbu ya miaka 50 tangu yatokee mauaji makubwa ya yanayofahamika kama My Lai yaliyotokea eneo la Son My nchini Vietnam.Mnamo March 16, 1968 wanajeshi wa Marekani waliwaua watu 504 ambao walikuwa raia wa Vietnam na tukio hili lilitokea na kutambulika kama tukio la kutisha zaidi ambalo lilitokea wakati wa Vita ya Wavietnam.Waliuawa wanawake, wanaume na watoto, huku idadi kubwa ya wanawake wakibakwa na kutendewa vitendo vya kikatili.,

Kumbukumbu ya miaka 50 tangu yatokee mauaji makubwa ya yanayofahamika kama My Lai yaliyotokea eneo la Son My nchini Vietnam.

Mnamo March 16, 1968 wanajeshi wa Marekani waliwaua watu 504 ambao walikuwa raia wa Vietnam na tukio hili lilitokea na kutambulika kama tukio la kutisha zaidi ambalo lilitokea wakati wa Vita ya Wavietnam.

Waliuawa wanawake, wanaume na watoto, huku idadi kubwa ya wanawake wakibakwa na kutendewa vitendo vya kikatili.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *