Kubenea achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais TFF,

June 11, 2021

 

Mbunge wa zamani wa Ubungo, Said Kubenea amechukua fomu ya urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) huku aking’aka kucheleweshwa.

Kubenea ametinga TFF saa 7:45 mchana akiwa ameambatana na mtu mwingine mmoja na kuongoza kuingia kwenye ofisi ya mwanasheria wa TFF 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *