Kocha wa Zamani Kenya Afunguka Kuhusu Mchezaji wa SIMBA “Onyango Hana Mvuto Kwa Mashabiki”, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 1, 2020

Kocha wa zamani wa Kenya, Harambe Stars, Adel Amrouche raia wa Ubelgiji amesema Onyango ni kati ya mabeki bora aliowahi kuwanoa na wanaombeza wataona tofauti pale atakapoanza kucheza.Amesema kawaida Onyango hana mvuto kwa mashabiki badala yake ana mvuto mkubwa kwa watu wa ufundi kwa maana ya makocha.Onyango amejiunga na Simba akitokea Gor Mahia ya Kenya kwa kandarasi ya miaka miwili na mchezo wake wa kwanza ulikuwa dhidi ya Vital’O ya Burundi ambapo Simba ilishinda mabao 6-0 Uwanja wa Mkapa”Ni miongoni mwa wachezaji wazuri ambao hawavutii nje ya uwanja lakini uwezo wao ni ndani ya uwanja hivyo nina amini atafanya makubwa ambayo wengi hawataamini.”,

Kocha wa zamani wa Kenya, Harambe Stars, Adel Amrouche raia wa Ubelgiji amesema Onyango ni kati ya mabeki bora aliowahi kuwanoa na wanaombeza wataona tofauti pale atakapoanza kucheza.

Amesema kawaida Onyango hana mvuto kwa mashabiki badala yake ana mvuto mkubwa kwa watu wa ufundi kwa maana ya makocha.

Onyango amejiunga na Simba akitokea Gor Mahia ya Kenya kwa kandarasi ya miaka miwili na mchezo wake wa kwanza ulikuwa dhidi ya Vital’O ya Burundi ambapo Simba ilishinda mabao 6-0 Uwanja wa Mkapa

”Ni miongoni mwa wachezaji wazuri ambao hawavutii nje ya uwanja lakini uwezo wao ni ndani ya uwanja hivyo nina amini atafanya makubwa ambayo wengi hawataamini.”

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *