KMC FC kukutana nna Tanzania Prisons kesho uwanja wa Uhuru, on September 11, 2020 at 1:00 pm

September 11, 2020

Timu ya Manispaa ya Kinondoni , KMC FC kesho itashuka katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam kucheza mchezo wao wa pili dhidi ya  Tanzania Prisons saa 10.00 kamili jioni.Katika mchezo huo Timu ya KMC FC itaingia uwanjani huku ikiwa inaongoza ligi kuu Tanzania bara mara baada ya kushinda mchezo wao wa kwanza waliocheza na timu ya Mbeya City Septemba saba mwaka huu.Hata hivyo kikosi hicho kipotayari kwa mchezo huo na kwamba hakuna mchezaji ambaye ni  majeruhi hivi sasa ikiwa ni mara baada ya kumalizika kwa mchezo uliopita dhidi ya Mbeya City pamoja na mazezi mbalimbali ambayo timu hiyo ilikuwa ikifanya kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo.Aidha katika mchezo huo, Timu ya KMC FC  imejipanga katika kuhakikisha kuwa inapata matokeo mazuri ya mchezo huo li iweze kupata nafasi ya kuendelea kuongoza liki kuu katika msimu huu wa 2020/2021.,

Timu ya Manispaa ya Kinondoni , KMC FC kesho itashuka katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam kucheza mchezo wao wa pili dhidi ya  Tanzania Prisons saa 10.00 kamili jioni.

Katika mchezo huo Timu ya KMC FC itaingia uwanjani huku ikiwa inaongoza ligi kuu Tanzania bara mara baada ya kushinda mchezo wao wa kwanza waliocheza na timu ya Mbeya City Septemba saba mwaka huu.

Hata hivyo kikosi hicho kipotayari kwa mchezo huo na kwamba hakuna mchezaji ambaye ni  majeruhi hivi sasa ikiwa ni mara baada ya kumalizika kwa mchezo uliopita dhidi ya Mbeya City pamoja na mazezi mbalimbali ambayo timu hiyo ilikuwa ikifanya kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo.

Aidha katika mchezo huo, Timu ya KMC FC  imejipanga katika kuhakikisha kuwa inapata matokeo mazuri ya mchezo huo li iweze kupata nafasi ya kuendelea kuongoza liki kuu katika msimu huu wa 2020/2021.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *