Kipimo Sahihi cha Mapenzi ni Kuvumilia Mapungufu

September 17, 2020

Mapenzi ukitaka kuyapima basi angalia tu kuhusu mabaya kama unaweza kuyabeba na kuyavumilia.Asili yetu binadamu tumeumbwa na mambo mazuri na kupenda mazuri,hivyo mtu akikupenda kwa mazuri tu huyo hajakupenda bali ndio asili yake tokea kuumbwa. Kuna watu wanadhani mfano mwanaume kukupenda basi akusaidie fedha,,akusaidie kazi,akuhurumie,awe mpole na kadhalika.Hivi sio vipimo sahihi vya mapenzi. Kwa sababu wapo wanaume wanaweza kuwa wanahuruma kwako laiini huruma katika nayo kwao ndio nature hivyo atakuwa na huruma hata kwa asiyekuwa wewe.Wapo wanaume watakuwa wapole lakini upole wake sio kwa sababu kakuoenda bali kwa sababu kazaliwa ama kalelewa hivyo. Wapo wanaume wanaweza kukusaidia kazi,lakini anakusaidia sio kwa sababu anakupenda bali ndo kalelewa ama kakulia hivyo.Sasa unaweza kukutana na mwanaume ukadhani tabia zake anazofanya anafanya kwa kukupenda kumbe anafanya kwa sababu ndio tabia zake hivyo atamfanyia kila mtu.Kwa mtu wa aina hii ni ngumu kung’amua kwa vipi anakupenda. Ili ujue kakupenda usiangalie anakufanyia nini. Ili ujue kakupenda angalia anayavumilia vipi mapungufu yako.Mapungufu ndio msingi wa kuyajua mapenzi.Karibu kwa mjadala.,

Mapenzi ukitaka kuyapima basi angalia tu kuhusu mabaya kama unaweza kuyabeba na kuyavumilia.

Asili yetu binadamu tumeumbwa na mambo mazuri na kupenda mazuri,hivyo mtu akikupenda kwa mazuri tu huyo hajakupenda bali ndio asili yake tokea kuumbwa. Kuna watu wanadhani mfano mwanaume kukupenda basi akusaidie fedha,,akusaidie kazi,akuhurumie,awe mpole na kadhalika.

Hivi sio vipimo sahihi vya mapenzi. Kwa sababu wapo wanaume wanaweza kuwa wanahuruma kwako laiini huruma katika nayo kwao ndio nature hivyo atakuwa na huruma hata kwa asiyekuwa wewe.

Wapo wanaume watakuwa wapole lakini upole wake sio kwa sababu kakuoenda bali kwa sababu kazaliwa ama kalelewa hivyo. Wapo wanaume wanaweza kukusaidia kazi,lakini anakusaidia sio kwa sababu anakupenda bali ndo kalelewa ama kakulia hivyo.

Sasa unaweza kukutana na mwanaume ukadhani tabia zake anazofanya anafanya kwa kukupenda kumbe anafanya kwa sababu ndio tabia zake hivyo atamfanyia kila mtu.

Kwa mtu wa aina hii ni ngumu kung’amua kwa vipi anakupenda. Ili ujue kakupenda usiangalie anakufanyia nini. Ili ujue kakupenda angalia anayavumilia vipi mapungufu yako.

Mapungufu ndio msingi wa kuyajua mapenzi.

Karibu kwa mjadala.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *