Kipchoge: Sikio langu la kulia liliziba

October 5, 2020

“Mbio zilikuwa nzuri nilianza vyema, kulikuwa na baridi lakini nilipata tatizo dogo tu na sikio langu la kulia, liliziba na nilijaribu kulizibua ila haikuwezekana. Ila yote tisa huu ni mchezo na katika michezo leo utakuwa juu kesho utakuwa chini,” alisema Kipchoge.

Hii ilikuwa ni marathon ya pili Kipchoge kushindwa katika taaluma yake hiyo ya ukimbiaji wa mbio za masafa marefu.

 

Source link

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *