KIMENUKA..Dkt Bashiru Atoa Maagizo Kigwangalla Kisa Sakata la Simba na Modewji

September 6, 2020

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally, amemtaka mgombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla, kuacha kujibizana mitandaoni kuhusu mpira na badala yake, atumie muda huo kuweka vitu vitakavyomsaidia mgombea Urais wa chama hicho Dkt Magufuli kushinda uchaguzi.Hayo yameelezwa hii leo Septemba 06,2020, kupitia ukurasa wa Twitter wa CCM, ambapo licha ya kutoa maelekezo hayo kwa Kigwangalla, pia ametoa maelekezo kwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye.”Naona Dkt Kigwangalla yupo mitandaoni kujibizana na Mohamed Dewji mambo ya mipira, tupo kwenye uchaguzi, nataka nione ana-tweet na wafuasi wake namna Mwenyekiti na Mgombea Urais wetu atakavyoshinda, siingilii maisha binafsi, hakuna maisha binafsi unapokuwa mgombea wa CCM” amesema Bashiru.,

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally, amemtaka mgombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla, kuacha kujibizana mitandaoni kuhusu mpira na badala yake, atumie muda huo kuweka vitu vitakavyomsaidia mgombea Urais wa chama hicho Dkt Magufuli kushinda uchaguzi.

Hayo yameelezwa hii leo Septemba 06,2020, kupitia ukurasa wa Twitter wa CCM, ambapo licha ya kutoa maelekezo hayo kwa Kigwangalla, pia ametoa maelekezo kwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye.

“Naona Dkt Kigwangalla yupo mitandaoni kujibizana na Mohamed Dewji mambo ya mipira, tupo kwenye uchaguzi, nataka nione ana-tweet na wafuasi wake namna Mwenyekiti na Mgombea Urais wetu atakavyoshinda, siingilii maisha binafsi, hakuna maisha binafsi unapokuwa mgombea wa CCM” amesema Bashiru.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *