Killy na Cheed: Tupo Konde Gang ila tunamshukuru sana Alikiba, bila yeye sisi tusingekuwa hapa

September 12, 2020

Wasanii wapya wa @kondegang @officialcheed na @officialkilly_tz walivyotua kwenye tukio la @countrywizzy_tz ambapo anazindua EP yake.UMbali na hilo wametoa Shukran nyingi sana kwa @officialalikiba kwa kuwatengenezea misingi mizuri kwenye muziki. @officialkilly_tz na @officialcheed pia wameeleza muda ambao wameutumia hadi kusainiwa @kondegang,

Wasanii wapya wa @kondegang @officialcheed na @officialkilly_tz walivyotua kwenye tukio la @countrywizzy_tz ambapo anazindua EP yake.U

Mbali na hilo wametoa Shukran nyingi sana kwa @officialalikiba kwa kuwatengenezea misingi mizuri kwenye muziki. @officialkilly_tz na @officialcheed pia wameeleza muda ambao wameutumia hadi kusainiwa @kondegang

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *