Kilele cha Shindano la Miss Tanzania 2020 kufanyika Desemba 5,

October 19, 2020

 

Kilele cha Shindano la kumsaka mrembo wa Tanzania ‘Miss Tanzania 2020’ linatarajiwa kufanyika Desemba 5 mwaka huu katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).

Kutokana na ukubwa wa shindano hilo hapa nchini, Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania na Mkurugenzi wa Kampuni ya The Look Company, @basillamwanukuzi ametangaza rasmi gharama ya bei za tiketi kuangia ukumbini siku hiyo.

Gharama za tiketi kulishuhudia Shindano la Miss Tanzania 2020 ni kama vifuatavyo; (DIAMOND – Viti Maalum vilivyowekwa katika hadhi ya Kimataifa ni kiasi cha Shilingi Laki Moja 100, 000) huku (GOLD – 65,000/=), (SILVER – 50,000/=) na (BRONZE – 25,000/=)

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *