Kikosi hiki kinaweza kuipatia Chelsea Ubingwa ?, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 28, 2020

Chelsea ilianza na Hakim Ziyech kutoka Ajax kwa dau la paundi milioni 38. Chelsea haikuishia hapo katika sajili zake na kuipiku Liverpool kwa Timo Werner dau la paundi miloni 53.Is this the all-star XI who will win Chelsea the Premier League title after £250mThe blues ilifika mbali zaidi na kuweka rekodi ya kukaribia kumsajili kijana mmoja mwenye kipaji kikubwa barani Ulaya, Kai Havertz kwa paundi milioni 90 akitokea Bayer Leverkusen.Ben Chilwell paundi milioni 50 akitokea Leicester, na Thiago Silva akitokea Paris Saint-Germain. Malang Sarr akitokea Nice.Mlindalango wa Ajax, Andre Onana akiwa katika rada kuwaniwa na Chelsea kuchukua nafasi ya Kepa Arrizabalga. Lampard anaonekana amepania kukiimarisha kikosi chake.,

Chelsea ilianza na Hakim Ziyech kutoka Ajax kwa dau la paundi milioni 38. Chelsea haikuishia hapo katika sajili zake na kuipiku Liverpool kwa Timo Werner dau la paundi miloni 53.

Is this the all-star XI who will win Chelsea the Premier League title after £250m

The blues ilifika mbali zaidi na kuweka rekodi ya kukaribia kumsajili kijana mmoja mwenye kipaji kikubwa barani Ulaya, Kai Havertz kwa paundi milioni 90 akitokea Bayer Leverkusen.

Ben Chilwell paundi milioni 50 akitokea Leicester, na Thiago Silva akitokea Paris Saint-Germain. Malang Sarr akitokea Nice.

Mlindalango wa Ajax, Andre Onana akiwa katika rada kuwaniwa na Chelsea kuchukua nafasi ya Kepa Arrizabalga. Lampard anaonekana amepania kukiimarisha kikosi chake.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *