Kijana Awa Mzigo Kwa Familia Baada ya Kuuza FIGO yake Moja ili Kununua Simu ya Iphone

October 16, 2020

Huyu ndiye Wang Shangkun raia wa China ambaye alipokuwa na miaka 17 aliuza figo moja na fedha akanunua iPhone 4 na iPad 2. Miaka 8 baadaye, figo alilobaki nalo likashindwa kufanya kazi, sasa ana miaka 25, amelala kitandani hawezi tena kutembea, amekuwa mzigo kwa familia yake.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *