Kigwangala Amuwashia Moto Moo Dewji Usaji Mpya wa CEO Simba “Board ya Simba Inapaswa Kuwajibika”

September 6, 2020

Kigwangala Amuwashia Moto Moo Dewji kuhusu usaji wa CEO Mpya SimbaHapa Kingwangalla @hamisi_kigwangalla anahoji kuhusu vitu kadhaa vikiwemo uzoefu wa CEO. Ameongeza zaidi kuomba CV ya Senzo akimaanisha ni mtu mzoefu kwenye soka. Nitai post CV ya Senzo kwenye post inayofuata..Pia amehoji utaratibu uliotumika kumpata na alishindanishwa na nani hadi kumpata yeye kama CEO..Wadau wa michezo wenye uwezo wa kujenga hoja tu, naomba mtoe maoni yeni pia.,

Kigwangala Amuwashia Moto Moo Dewji kuhusu usaji wa CEO Mpya Simba
Hapa Kingwangalla @hamisi_kigwangalla anahoji kuhusu vitu kadhaa vikiwemo uzoefu wa CEO. Ameongeza zaidi kuomba CV ya Senzo akimaanisha ni mtu mzoefu kwenye soka. Nitai post CV ya Senzo kwenye post inayofuata.
.
Pia amehoji utaratibu uliotumika kumpata na alishindanishwa na nani hadi kumpata yeye kama CEO.
.
Wadau wa michezo wenye uwezo wa kujenga hoja tu, naomba mtoe maoni yeni pia.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *