Kevin wa “Home Alone” afikisha Miaka 40, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 29, 2020

Unaikumbuka Filamu ya Home Alone? Mhusika mkuu wa filamu hiyo Macaulay Culkin ambaye aliigiza kama “Kevin McCallister” kwenye filamu hiyo amefikisha umri wa miaka 40.” Hello Unataka kujua kama umri Umeenda? Nimetimiza miaka 40, karibu” Macaulay ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter akiwakumbusha mashabiki wake ambao wengi walikuwa watoto kipindi filamu hiyo inatoka Mwaka 1990.Filamu ya ” Home Alone” inakukumbusha tukio gani la enzi hizo?,

Unaikumbuka Filamu ya Home Alone? Mhusika mkuu wa filamu hiyo Macaulay Culkin ambaye aliigiza kama “Kevin McCallister” kwenye filamu hiyo amefikisha umri wa miaka 40.

” Hello Unataka kujua kama umri Umeenda? Nimetimiza miaka 40, karibu” Macaulay ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter akiwakumbusha mashabiki wake ambao wengi walikuwa watoto kipindi filamu hiyo inatoka Mwaka 1990.

Filamu ya ” Home Alone” inakukumbusha tukio gani la enzi hizo?

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *