Kenya: Watanzania Hawatoweka Karantini Tena

September 16, 2020

Serikali ya Kenya imetoa orodha ya Nchi 147 ambazo Raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye orodha hiyo, Tanzania imetajwa miongoni mwa Nchi hizo ambazo zinafika 147, unaweza kuitazama orodha nzima hapa chini.,

Serikali ya Kenya imetoa orodha ya Nchi 147 ambazo Raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila kukaa karantini ambapo kwenye orodha hiyo, Tanzania imetajwa miongoni mwa Nchi hizo ambazo zinafika 147, unaweza kuitazama orodha nzima hapa chini.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *