Keeping Up with the Kardashians: Kipindi maarufu nchini Marekani kukamilika mwaka ujao

September 9, 2020

Kipindi maarufu cha televisheni cha Marekani cha Keeping Up With The Kardashians, kinafikia mwisho mapema mwaka ujao. Kim Kardashian ametangaza kwenye ujumbe aliouandika kwenye mtandao wa Twitter ambao mashabiki walionekana kuhuzunika na hilo. Je, una kipindi unachokienzi kwa dhati ?sema nasi bbcswahili.

Source link

,Keeping Up with the Kardashians: Kipindi maarufu nchini Marekani kukamilika mwaka ujao Kipindi maarufu cha televisheni cha Marekani cha Keeping…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *