Kayumba kuongezwa Kings Music ya Alikiba, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 3, 2020 at 8:00 am

September 3, 2020

Msanii Kayumba amefunguka kuhusu ukaribu wake na msanii Alikiba pamoja na jina lake kutajwa sana kujiunga na kundi la Kings Music Records ambayo inamilikiwa na msanii huyo., Kayumba amesema yote kheri  kwa sababu Alikiba ni mtu ambaye anamkubali sana pia anamsapoti hivyo ikitokea nafasi yupo tayari kufanya nae kazi. “Ukimzungumzia Alikiba ni msanii mkubwa ndani na nje ya Tanzania,  Pia ni mmoja kati ya kaka zangu ambao wananikubali na kunisapoti na ukaribu wetu ulikuja kutokana na muziki, ikifika wakati wa kufanya biashara tutazungumza nitaangalia sehemu ambayo kutakuwa na maslahi kwangu na kutanikuza kama atanipa nafasi nipo tayari na nitaitumia vizuri” amesema Kayumba ,

Msanii Kayumba amefunguka kuhusu ukaribu wake na msanii Alikiba pamoja na jina lake kutajwa sana kujiunga na kundi la Kings Music Records ambayo inamilikiwa na msanii huyo.

, Kayumba amesema yote kheri  kwa sababu Alikiba ni mtu ambaye anamkubali sana pia anamsapoti hivyo ikitokea nafasi yupo tayari kufanya nae kazi. 

“Ukimzungumzia Alikiba ni msanii mkubwa ndani na nje ya Tanzania,  Pia ni mmoja kati ya kaka zangu ambao wananikubali na kunisapoti na ukaribu wetu ulikuja kutokana na muziki, ikifika wakati wa kufanya biashara tutazungumza nitaangalia sehemu ambayo kutakuwa na maslahi kwangu na kutanikuza kama atanipa nafasi nipo tayari na nitaitumia vizuri” amesema Kayumba 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *