Katibu Mkuu Wa Ccm Dr. Bashiru Ally Kesho Kukutana Na Wazee Wa Ccm Zanzibar,

October 4, 2020

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Kesho Jumatatu Oktoba 05, 2020 atazungumza na Wazee wa Zanzibar Kutoka Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja Kuanzia Saa 8 Mchana ili Kutoa mwenendo wa Kampeni za CCM. 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *