Kanye West: Lazima Serikali Ijibu Vilio vya Wanigeria

October 14, 2020

 

MUIMBAJI wa muziki wa rap nchini Marekani Kanye West ameelezea kuunga mkono Wanaigeria wanaoandamana dhidi ya ukatili uliofanywa na kikosi maarufu cha polisi cha kukabiliana na wizi (SARS).

 

Maandamano yaliyosambaa kote nchini Nigeria yamemlazimisha Rais Muhammadu Buhari kuvunja kikosi hicho. Lakini waandamanaji wanataka maafisa wa kikosi hicho kukabiliana na mkono wa sheria.

 

Kanye West ametuma tweet kwamba serikali ya Nigeria “lazima ijibu kilio cha watu “

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *