Kanye West aitupa chooni tuzo yake ya Grammy, on September 17, 2020 at 10:00 am

September 17, 2020

 Msanii Kanye West ameitupa chooni na kukojolea Tuzo yake ya Grammy ikiwa ni sehemu ya kusimamia msimamo wake juu ya kupinga unyonyaji anaodai upo Kwenye baadhi ya Makampuni yanayofanya kazi na Wasanii akitaka yaache kufanya biashara ya utumwa wa kisasa kwa Wasanii hao.Ikumbukwe Pia Kanye ni mshindi mara 21 wa tuzo za Grammy, akiwa miongoni mwa wasanii walioshinda mara nyingi zaidi.,

 Msanii Kanye West ameitupa chooni na kukojolea Tuzo yake ya Grammy ikiwa ni sehemu ya kusimamia msimamo wake juu ya kupinga unyonyaji anaodai upo Kwenye baadhi ya Makampuni yanayofanya kazi na Wasanii akitaka yaache kufanya biashara ya utumwa wa kisasa kwa Wasanii hao.

Ikumbukwe Pia Kanye ni mshindi mara 21 wa tuzo za Grammy, akiwa miongoni mwa wasanii walioshinda mara nyingi zaidi.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *