Kansela Angela Merkel asikitishwa na kujiuzulu kwa Abe, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 2), on August 28, 2020 at 5:00 pm

August 29, 2020

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema leo kuwa anasikitishwa na kujiuzulu kwa waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe kwa misingi ya afya yake, akisifu mapambano yake kutaka ushirikiano wa makundi ya mataifa.Merkel amesema yeye pamoja na kiongozi huyo katika kundi la mataifa 7 yenye utajiri mkubwa wa viwanda wana msingi mmoja wa maadili.Nasikitika kwa kujiuzulu na namtakia kila la kheri katika afya yake, amewaambia waandishi habari leo mjini Berlin, na kuongeza kuwa wamefanyakazi vizuri sana kwa pamoja na kwamba Abe alikuwa kila mara mtu anayetaka kupambana kufanyakazi kwa pamoja.,

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema leo kuwa anasikitishwa na kujiuzulu kwa waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe kwa misingi ya afya yake, akisifu mapambano yake kutaka ushirikiano wa makundi ya mataifa.

Merkel amesema yeye pamoja na kiongozi huyo katika kundi la mataifa 7 yenye utajiri mkubwa wa viwanda wana msingi mmoja wa maadili.

Nasikitika kwa kujiuzulu na namtakia kila la kheri katika afya yake, amewaambia waandishi habari leo mjini Berlin, na kuongeza kuwa wamefanyakazi vizuri sana kwa pamoja na kwamba Abe alikuwa kila mara mtu anayetaka kupambana kufanyakazi kwa pamoja.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *