Kaburi la halaiki lagunduliwa nchini Libya, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 3, 2020

Kaburi la halaiki lagunduliwa   katika mji wa Terhune, mji ambao ulikuwa umetekwa na wapiganaji wa Kahlifa Haftar. Jeshi la Libya limekomboa mji huo baada ya kushirikiana na jeshi la Uturuki. Muhusika wa kitengo kinachohusika na mawasiliano serikali  ya Libya   amezungumza kuhusu  uchunguzi baada ya  kugunduliwa kaburi hilo  Abdulaziz al Jafari  amesema kuwa idadi ya makuburi ya halaiki inazidi kuongezeka. Idadi ya miili iliogunduliwa bado haijatolewa. Jeshi la Libya lilianza operesheni dhidi ya vikosi vya Haftar  tangu Machi 25  na Terhune na mjini Tripoli Juni  3. Zaidi ya makaburi 11 ya halaiki   yaligunduliwa  katika mji wa Terhuna. Taarifa  iliotolewa na  na mahakama ya kimataifa ya Juni 22  imefahamisha kuwa  makaburi ya halaiki  yaliogunduliwa nchini Libya taarifa zake zinachunguzwa ,

Kaburi la halaiki lagunduliwa   katika mji wa Terhune, mji ambao ulikuwa umetekwa na wapiganaji wa Kahlifa Haftar. 

Jeshi la Libya limekomboa mji huo baada ya kushirikiana na jeshi la Uturuki. 

Muhusika wa kitengo kinachohusika na mawasiliano serikali  ya Libya   amezungumza kuhusu  uchunguzi baada ya  kugunduliwa kaburi hilo  Abdulaziz al Jafari  amesema kuwa idadi ya makuburi ya halaiki inazidi kuongezeka. 

Idadi ya miili iliogunduliwa bado haijatolewa. 

Jeshi la Libya lilianza operesheni dhidi ya vikosi vya Haftar  tangu Machi 25  na Terhune na mjini Tripoli Juni  3. 

Zaidi ya makaburi 11 ya halaiki   yaligunduliwa  katika mji wa Terhuna. 

Taarifa  iliotolewa na  na mahakama ya kimataifa ya Juni 22  imefahamisha kuwa  makaburi ya halaiki  yaliogunduliwa nchini Libya taarifa zake zinachunguzwa 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *