JPM: Ni Shetani Alitaka Kutawala Dunia, Lakini Hatatawala Tanzania, Nchi Yetu inaamini katika imani za Watu Tofauti

September 14, 2020

“Ni shetani alitaka kutawala Dunia, lakini hatatawala Tanzania, shetani ataendelea kushindwa kwa sababu tunajitambua, nchi yetu inaamini pia katika imani za watu tofauti, tulisimama imara na Mungu akatusikia”“Kila nikimfikiria Mzee Mkapa moyo unaniuma kwa sababu yeye ndiye aliyeniokota huku jalalani, msicheze na kukosekana kwa amani, msije mkajaribu kitu kitamu wakati mnakiona ni kichungu,

“Ni shetani alitaka kutawala Dunia, lakini hatatawala Tanzania, shetani ataendelea kushindwa kwa sababu tunajitambua, nchi yetu inaamini pia katika imani za watu tofauti, tulisimama imara na Mungu akatusikia”

“Kila nikimfikiria Mzee Mkapa moyo unaniuma kwa sababu yeye ndiye aliyeniokota huku jalalani, msicheze na kukosekana kwa amani, msije mkajaribu kitu kitamu wakati mnakiona ni kichungu

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *