JPM kuunguruma Kesho Zanzibar,

October 2, 2020

Mgombea Urais Kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Kesho Jumamosi Oktoba 03, 2020 ataunguruma Visiwani Zanzibar Kwenye Mwendelezo wa Kampeni za Kunadi Sera bora za CCM, Ilani na Kuomba Kura Kwenye Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. 

Diamond Platnumz na Wasanii wengine wengi Watakuwepo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *