JPM Amvulia Kofia Alikiba Na Kumvalisha Kama Diamond

September 16, 2020

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli ameshindwa kujizuia na kuamua kumwita msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, meza kuu kisha kuvua kofia yake na kumvisha mwanamuziki huyo.Magufuli amefanya hayo leo Jutano, Septemba16, 2020, wakati Alikiba alipokuwa akitumbuiza kwenye kampeni za Magufuli katika Viwanja Vya Gymkhana Bukoba mjini. ,

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli ameshindwa kujizuia na kuamua kumwita msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, meza kuu kisha kuvua kofia yake na kumvisha mwanamuziki huyo.

Magufuli amefanya hayo leo Jutano, Septemba16, 2020, wakati Alikiba alipokuwa akitumbuiza kwenye kampeni za Magufuli katika Viwanja Vya Gymkhana Bukoba mjini.

 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *